ndiyo ninachoulizaSheria inasema ukistaafu unatakiwa kulipwa baada ya muda gani ukishawasilisha vielelezo vyote?
Lazima wameandika sehemu, jaribu kusoma client charter yao.ndiyo ninachouliza
Kabla ya kustaafu unapeleka maombi rasmi Kwa mwajiri Ili uingie kwenye bajeti ya mwaka husika wa fedha , lakini ukichelewq kufanya hivyo unaweza kuchelewa kulipwa mpaka hapo utakapoingia kwenye bajeti ya serikaliSheria inasema ukistaafu unatakiwa kulipwa baada ya muda gani ukishawasilisha vielelezo vyote?
sidhani! kwahiyo watabajeti na subsistance allowance? Sidhani kama uko sahihi!Kabla ya kustaafu unapeleka maombi rasmi Kwa mwajiri Ili uingie kwenye bajeti ya mwaka husika wa fedha , lakini ukichelewq kufanya hivyo unaweza kuchelewa kulipwa mpaka hapo utakapoingia kwenye bajeti ya serikali
authority? niwekeeMiezi 6
nachofahamu hakuna sheria inayotoa utaratibu wa muda japo unaweza kuwa baada ya mwaka au miezi ,japokuwa kwa matamshi mbalimbali ya Viongozi wakubwa wanahitaji watu kulipwa ndani ya Kipindi cha Miezi 3 baada ya kuwasilisha vielelezo hivyoSheria inasema ukistaafu unatakiwa kulipwa baada ya muda gani ukishawasilisha vielelezo vyote?
nachofahamu hakuna sheria inayotoa utaratibu wa muda japo unaweza kuwa baada ya mwaka au miezi ,japokuwa kwa matamshi mbalimbali ya Viongozi wakubwa wanahitaji watu kulipwa ndani ya Kipindi cha Miezi 3 baada ya kuwasilisha vielelezo hivyo
Hawezi kupata chochote hadi process zote zikamilike,ndio nchi yetu hiiHuo muda wote huyu mstaafu atakuwa anapata wapi pesa?au ile pensheni ya kila mwezi inaanza kuingia mara moja.
Ajabu, kile kiinua mgongo cha wagonga meza chenyewe huwa kinasoma hata kabla bunge halijavunjwa, nchi hii kuna kuoneana sana.
Time limit to institute a case for CLAIM OF retirement benefits if not paid in time, what is the time limit? (mfano kufungua shauri la madai ya ardhi ni miaka 12, ikishapita bila kufungua shauri kudai ardhi yako unakuwa TIME BARRED TO OPEN THE CASE....UNAPOTEZA UMILIKI (ukiacha some exceptions)nachofahamu hakuna sheria inayotoa utaratibu wa muda japo unaweza kuwa baada ya mwaka au miezi ,japokuwa kwa matamshi mbalimbali ya Viongozi wakubwa wanahitaji watu kulipwa ndani ya Kipindi cha Miezi 3 baada ya kuwasilisha vielelezo hivyo
Nimeelewa swali lako lakini sijawahi kuona au kusikia kifungu juu ya Time limitation to lodge a claim delaying for the payment of retirement benefits.Time limit to institute a case for CLAIM OF retirement benefits if not paid in time, what is the time limit? (mfano kufungua shauri la madai ya ardhi ni miaka 12, ikishapita bila kufungua shauri kudai ardhi yako unakuwa TIME BARRED TO OPEN THE CASE....UNAPOTEZA UMILIKI (ukiacha some exceptions)
Kwenye CMA, unfair termination, (procedural and substantive ) time limitation ni 30 days. Other claims ni siku 60. sasa kwa mtu ambaye amestaafu kwa compulsory retirement age ni siku ngapi kuda retirementNimeelewa swali lako lakini sijawahi kuona au kusikia kifungu juu ya Time limitation to lodge a claim delaying for the payment of retirement benefits.
Asaante sana ntaipitiaKwenye CMA, unfair termination, (procedural and substantive ) time limitation ni 30 days. Other claims ni siku 60. sasa kwa mtu ambaye amestaafu kwa compulsory retirement age ni siku ngapi kuda retirement
benefits?
7. Time Limits
For referring disputes to CMA on unlawful termination is 30 days, on others disputes 60 days, revision to the Labour Court within six weeks, review 15 days, appeal within 15 days, reference from mediation to arbitration or Labour Court 30 days34
. 34 Rule 10 of GN. No. 64/2007, Complaint No. 47 of 2008 between Dr. Noordin Jella and Mzumbe University (unreported