Wanasheria pitieni hapa kutoa tafsiri

Wanasheria pitieni hapa kutoa tafsiri

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
6,716
Reaction score
12,116
Mtumishi wa kada ya ualimu ngazi ya sekondari ameingiziwa fedha kiasi cha milioni moja kwenye akaunti yake ,baada ya kuingiziwa fedha anaambiwa ahamie kituo kingine wanasheria hebu leteni tafsiri juu ya uhamisho huu asanteni
 
Swali lako halijaeleweka. Malipo hayo ya pesa iliyowekwa Bank ni kwa ajiri ya uhamisho, sasa unataka sheria gani
 
Mtumishi wa kada ya ualimu ngazi ya sekondari ameingiziwa fedha kiasi cha milioni moja kwenye akaunti yake ,baada ya kuingiziwa fedha anaambiwa ahamie kituo kingine wanasheria hebu leteni tafsiri juu ya uhamisho huu asanteni

Nenda ofisini kwa mwanasheria mkuu. Professional advice huwa haitolewi kirahirahisi hivyo kama unavyofikiria.
 
Wakuu hizo fedha amewekea ili ahamie kituo kingine ,Sheria inasemaje juu ya mtumishi kutoka kituo A kwenda kituo B
 
Kama sijakuelewa vibaya unauliza kuwa itakuwa amewekewa fedha ambazo zina utata wa kumfanya ashawishike kuhama na unaona ni jambo/kitendo cha rushwa au figisu au halipo sawa na unataka kujua uhalali wake kama mchakato uliofanyika ni halali!! NDIO AU HAPANA?? mtoa mda
 
Mfumo wa kuuliza masuala ya kisheria ni tofauti sana kupiga ramli kwa mganga wa kienyeji.
 
Kama sijakuelewa vibaya unauliza kuwa itakuwa amewekewa fedha ambazo zina utata wa kumfanya ashawishike kuhama na unaona ni jambo/kitendo cha rushwa au figisu au halipo sawa na unataka kujua uhalali wake kama mchakato uliofanyika ni halali!! NDIO AU HAPANA?? mtoa mda
ndiyo nafikiri umenipata mbona kuna harufu ya rushwa? Utaratibu huu upo nchi gani
 
Kisheria unapaswa ulipwe kabla ya kuhamishwa, mwajiri kukulipa then akakuhamisha, tatizo lako nini ticha??

Karipoti kituo chako kipya ufanye kazi
 
Back
Top Bottom