kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Swali lako halijaeleweka. Malipo hayo ya pesa iliyowekwa Bank ni kwa ajiri ya uhamisho, sasa unataka sheria ganiMtumishi wa kada ya ualimu ngazi ya sekondari ameingiziwa fedha kiasi cha milioni moja kwenye akaunti yake ,baada ya kuingiziwa fedha anaambiwa ahamie kituo kingine wanasheria hebu leteni tafsiri juu ya uhamisho huu asanteni
Mtumishi wa kada ya ualimu ngazi ya sekondari ameingiziwa fedha kiasi cha milioni moja kwenye akaunti yake ,baada ya kuingiziwa fedha anaambiwa ahamie kituo kingine wanasheria hebu leteni tafsiri juu ya uhamisho huu asanteni
Kama sijakuelewa vibaya unauliza kuwa itakuwa amewekewa fedha ambazo zina utata wa kumfanya ashawishike kuhama na unaona ni jambo/kitendo cha rushwa au figisu au halipo sawa na unataka kujua uhalali wake kama mchakato uliofanyika ni halali!! NDIO AU HAPANA?? mtoa mdaWakuu hizo fedha amewekea ili ahamie kituo kingine ,Sheria inasemaje juu ya mtumishi kutoka kituo A kwenda kituo B
ndiyo nafikiri umenipata mbona kuna harufu ya rushwa? Utaratibu huu upo nchi ganiKama sijakuelewa vibaya unauliza kuwa itakuwa amewekewa fedha ambazo zina utata wa kumfanya ashawishike kuhama na unaona ni jambo/kitendo cha rushwa au figisu au halipo sawa na unataka kujua uhalali wake kama mchakato uliofanyika ni halali!! NDIO AU HAPANA?? mtoa mda
Kisheria unapaswa ulipwe kabla ya kuhamishwa, mwajiri kukulipa then akakuhamisha, tatizo lako nini ticha??ndiyo nafikiri umenipata mbona kuna harufu ya rushwa? Utaratibu huu upo nchi gani