Sina mpango wa kuwa wakili yaani kwenda field tu court na kukikuta kibabu kinatamka mheshimiwa hakimu huwa "sijisikii poa" yaani sins stimu na mahakama.....Wacha weeeeh! Big up Mkuu.
Sasa Mkuu kama upo njema kwenye sheria unaonaje ile siku ya mwisho ukawa wakili wangu?ππππππππMaana sidhani kama nitatendewa haki kwa kweli.
Hahahahaaaa........sawa Mkuu, ingawa nina mashaka kama ulielewa post yangu vema......Sababu kesi ya mwisho kila mtu atakuwa ni mshtakiwa.Sina mpango wa kuwa wakili yaani kwenda field tu court na kukikuta kibabu kinatamka mheshimiwa hakimu huwa "sijisikii poa" yaani sins stimu na mahakama.....
Generally makosa ya jinai mlalamikaji huwa ni serikali ambayo inatumia jina la Republic v.x hii ni kwasababu serikali inawajibu wa kuhakikisha inalinda usalama wa mali za wananchi na wananchi kwa ujumla hivyo inapotokea kuna kosa lolote la jinai serikali inasimama kma mlalamikaji na yule aliyefanyiwa kitendo anakuwa ni shahidi wa upande wa serikaliKuna mashtaka mengi ya kesi yamekuwa yakiandikwa kwa mtindo wa "Republic Versus Mshitakiwa", bila kutaja jina la hiyo Republic, kwa uelewa wangu, hata Kenya na China nazo ni Republic. Je, Mashtaka yanayoishia kusema Republic Vs Mshitakiwa bila kutaja ni Republic ipi, yana mashiko kisheria?
Kuna kitu kinaitwa territorial jurisdiction, hii inaongelea uwezo wa mahakama kusikiliza kesi zilizo ndani ya mipaka yake.Kuna mashtaka mengi ya kesi yamekuwa yakiandikwa kwa mtindo wa "Republic Versus Mshitakiwa", bila kutaja jina la hiyo Republic, kwa uelewa wangu, hata Kenya na China nazo ni Republic. Je, Mashtaka yanayoishia kusema Republic Vs Mshitakiwa bila kutaja ni Republic ipi, yana mashiko kisheria?
Kuna mashtaka mengi ya kesi yamekuwa yakiandikwa kwa mtindo wa "Republic Versus Mshitakiwa", bila kutaja jina la hiyo Republic, kwa uelewa wangu, hata Kenya na China nazo ni Republic. Je, Mashtaka yanayoishia kusema Republic Vs Mshitakiwa bila kutaja ni Republic ipi, yana mashiko kisheria?
Je, endapo ukashitakiwa na Mashtaka yakaandikwa kwa mtindo wa "Republic Vs Mshitakiwa" , pasipo kutaja jina la hiyo Republic, Kisha wewe Mshitakiwa ukaamua kulipinga shitaka kwenye Mahakama, Je unaweza kuwa na hoja ya msingi?
thats very fact broh na pia kesi za hvo ni kwa makosa ya jinai tu(criminal cases only)Ukiona kesi ya hivyo ujue ni pambano kati ya serikali na raia wake walioiweka serikali madarakani.
Wanatakiwa waandike Republic of Tanzania vs [Mchochezi] maana kesi inasikilizwa TZ.
Wakati huu wa Magufuli inabidi tuzoee kesi za namna hii maana Malaika wetu ni mkamilifu.