Wanasheria ufafanuzi wenu hapa

Wanasheria ufafanuzi wenu hapa

Danpol

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
5,727
Reaction score
8,918
Sheria inasemaje kuhusu hili

Umempa mimba mwanafunzi wa secondary (umri wake ni miaka 23)

Sheria inasemaje kuhusu hapa??

Kuna miaka 30??? au kwakua umri ushavuka hamna tatizo??
 
Jiandae kubadilisha mfumo wa maisha kutoka uraiyani kwenda kifungoni
 
Back
Top Bottom