John acha zako, ubabe wa nduguyo ndugai ndio unawafanya Halima awendelee kuwa bngeni na si ushahidi. Nitakutukana kwenye Idd ujue johnthebaptistUshahidi wa kuwatoa akina Halima Mdee bungeni umewashinda ndio mtauweza wa Sabaya?
Acheni dola ishughulike na Sabaya.
Hahahaaaa..... !John acha zako, ubabe wa nduguyo ndugai ndio unawafanya Halima awendelee kuwa bngeni na si ushahidi. Nitakutukana kwenye Idd ujue johnthebaptist
Brother umejibu kichama zaidi awamu ya tano,ebu amka tuko awamu ya sitaUshahidi wa kuwatoa akina Halima Mdee bungeni umewashinda ndio mtauweza wa Sabaya?
Acheni dola ishughulike na Sabaya.
Umeona eh!Brother umejibu kichama zaidi awamu ya tano,ebu amka tuko awamu ya sita
Naunga mkono hoja,huyu jambazi lazima ashughulikiwe kisheria.Hii ina mantiki kubwa. Ukatili ulio mwingi walifanyiwa wafuasi wa Chadema, ni vema CHADEMA ikaratibu ukusanyaji wa ushahidi dhidi ya Sabaya ili haki itendeke. Waandae waathirika waweze kutoa ushahidi wa kweli na si vinginevyo. Walindwe dhidi ya vitisho vya Sabaya na genge lake etc........
Tuliza mshono haya ni ya kiumeni zaidiUshahidi wa kuwatoa akina Halima Mdee bungeni umewashinda ndio mtauweza wa Sabaya?
Acheni dola ishughulike na Sabaya.
Huwa wanalindana huo uchunguzi wenyewe unaweza usipate majibu yake.Kuna kila dalili za Sabaya kufungwa kifungo kirefu au maisha
Siyo rahisi kwake alikwenda mbali na tofauti Sana kwa baadhi ya mambo Mfano...nini kilimsukuma kuhusisha magari na kuyawekea namba za UN,kwenye uhalifu?!....ikithibitika ni Kweli!!?Na UN iliwalazimu watoke hadharani kukanushaHuwa wanalindana huo uchunguzi wenyewe unaweza usijue majibu yake.