Katika kesi inayotarajiwa kufunguliwa na Mpina, natarajia kuona wanasheria wengi nchi hii mkijitokeza (kwa kujitolea) kumsaidia ili kuonesha uchungu ktk kuipigania haki hapa nchini.
Wanasheria acheni kujiweka nyuma, kwa kujifanya waungwana ili kutengeneza mazingira ya kutafuta teuzi.
Wenzenu kule Kenya wameonesha mfano mzuri kwa kusimama upande wa wananchi katika sakata la muswada wa fedha.
Soma====>> Breaking News: - Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria