Wako wapi hao wanasheria nchi kila siku inashindwa kesi za mchongo!Katika kesi inayotarajiwa kufunguliwa na Mpina, natarajia kuona wanasheria wengi nchi hii mkijitokeza (kwa kujitolea) kumsaidia ili kuonesha uchungu ktk kuipigania haki hapa nchini.
Wanasheria acheni kujiweka nyuma, kwa kujifanya waungwana ili kutengeneza mazingira ya kutafuta teuzi.
Wenzenu kule Kenya wameonesha mfano mzuri kwa kusimama upande wa wananchi katika sakata la muswada wa fedha.
Soma====>> Breaking News: - Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Watanzania kwanza waelewe kuwa Mpina aliwakilisha mamia kwa maelfu ya wao katika kushughulikia ukiukwaji wa taratibu , miongozo na hatua za kufuata katika jambo husika. Pili namna bunge lilivyo shughulikia jambo husika na matokeo yake kwa jamii.Katika kesi inayotarajiwa kufunguliwa na Mpina, natarajia kuona wanasheria wengi nchi hii mkijitokeza (kwa kujitolea) kumsaidia ili kuonesha uchungu ktk kuipigania haki hapa nchini.