WANASHERIA WANA SABABU YA KUOKOKA AU KUMUOMBA MUNGU?

asanteelimu2016

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
235
Reaction score
127
Habari zenu wakuu

Leo nikiwa katika kivuko kutoka mwanza kwenda ukerewe nikiwa nimekaa siti moja na wasukuma hawa walikuwa wakiulizana kuwa hivi kuna sababu mwanasheria kumuomba Mungu na kusali? Wanasheria wanaweza kuiona mbingu?

Sikuwa nimewaelewa kwa sababu sikujua point yao unalenda wapi, walipokuwa wakiendelea na mazungumzo ndipo nikawaelewa kuwa

"Kwa sababu mwanasheria anajua kabisa huyu ni mwizi na amemwambia mimi ni mwizi na niliua wakati nimeenda kuiba lakini mwanasheria atamtetea kuwa hajaiba, huko si ni kusema uongo"

Binafsi nikakumbuka yesu alipoomba sarafu ya fedha na kuwaonesha wale wakuu wa makuhani

"Sarafu hii ya fedha ina sura ya nani" wakajibu "Kaisari" kisha akawajibu "Basi ya kaisari mpeni kaisari ya Mungu mpeni Mungu"

Lakini naleta kwenu hili jambo je ni liwaza sawa au ndio kama hawa wasukumu wako sawa
 
Yesu alisema vile kutikana na unafiki wa mafarisayo.
Haina maana kuwa alitaka tufanye kazi kwa kumkosea Mungu.
Uongo ni uongo tu na ni dhambi mbele za Mungu.
Wakitubu na kumrudia Mungu mbingu wataiona tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…