Wanasheria watuelekeze kidogo hapa

Wanasheria watuelekeze kidogo hapa

lungw

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Posts
207
Reaction score
181
Kwa uelewa wangu mdogo najua kuna ,serikali, bunge na mahakama Sasa najiuliza kwa kesi ya lissu kumshitaki spika kwa kumvua ubunge na spika kutumia mawakili wa serikali inamaana hakuna mawakili wa bunge? Hapa napata tabu naomba ufafanuzi
 
Mawakili Wa bunge ndio hao hao Wa serikali, pamoja na mwanasheria mkuu
 
Tundu Lissu amewashitaki Spika, tume ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Kwa hiyo kila taasisi ina wanasheria wake ambao lazima wafanye kazi pamoja kama mawakili wa upande wa utetezi.
Asante
 
Tundu Lissu amewashitaki Spika, tume ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Kwa hiyo kila taasisi ina wanasheria wake ambao lazima wafanye kazi pamoja kama mawakili wa upande wa utetezi.
Harafu wakashindwaaa
 
Back
Top Bottom