Wanasheria wetu suala la uteuzi wabunge 6 wanaume liko sahihi kikatiba?

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
350
Reaction score
338
Nawashangaa Wanasheria wetu kukaa kimya wakati wananchi wanahangaika kupata tafsiri kisheria Juu ya uteuzi wa Wabunge 6 wanaume uliofanywa Na Mh.Rais.Niliamini wanasheria wetu wangetusaidia wananchi kujua Katiba Yetu inasemaje Juu ya uteuzi huo lakini nao wako kimya kama vile hawajui.Tunawaomba mtusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…