Wanashinyanga mkoa uliobarikiwa

Logo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
588
Reaction score
48
Nina mtaji wa laki tano eti utafaa kwa biashara gani hapo Shinyanga?
 
Laki Tano???

Mkuu labda utafute madini kwa wasafishaji na wachimbaji wadogo uje uuze huku Dar.
 
Tafuta 7m nikupe biashara kwa shy faida 1.5m kwa mwezi. kwa hiyo pesa yako labda ununue yeboyebo dar kwa jumla kisha uanze hangaika minadani itakulipa vizuri. dhahabu au dagaa huwezi itaishia kwenye matumizi tu.
 
Baiskeli sijui ni kaka au dada, naomba hilo dili mkuu. naomba ni PM nipo siriaz kabisa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…