PreGE2025 Wanasiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025 usilazimishe uongozi Kama haujamshirikisha Mungu Utakufa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Kila Jambo ishirikishe nafsi yako sio wapambe

Nawaambie enyi warafi wa madaraka na wapambe wenu Kama hamtanisikiliza mtakufa kabla, ndani au baada ya uchaguzi.

Uongozi mzuri utoka kwa mwenyezi Mungu sio mwanadamu kwa kusimikwa.

Hakika nawaambia mtaanguka na kufa na wapambe wenu kuwakana na kuwasaliti.

Huwezi kuongoza watu wanao nung'unika kwa muda mrefu ukafanikiwa!!

Nawaambia enyi mnaotaka vyeo vya urais ubunge na udiwani zishikisheni kwanza nafsi zenu na muangalie Kama kweli mnakubalika?

Kama hamkubaliki achaneni na hiyo mipango mtakufa na mtakufa kifo kibaya Sana.

Narudia mtakufa enyi walevi wa madaraka!!
 
The Last Trumpet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…