Wanasiasa mtaleta matatizo makubwa, hili la kuahirisha mechi limevunja moyo sana Watanzania.

Wanasiasa mtaleta matatizo makubwa, hili la kuahirisha mechi limevunja moyo sana Watanzania.

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Too sad.

Siwezi sana kusema lakini wanasiasa mmeharibu sana kwa leo. CCM acheni kujifanya hii nchi ni mali yenu wala haitakuja kuwa mali ya wanasiasa ni mali ya Wananchi wa Tanzania. Watu wametoka Zambia, Songea, Mwanza na kwingine halafu mnarahisisha mambo? Mtakuja kuichoma moto nchi hii.
 
Ni mwendo wa Bata Sasa hivi,tumeshasema neno Wanyonge marufuku na Sasa Ni kutanua tu,Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Too sad. Siwezi sana kusema lakini wanasiasa mmeharibu sana kwa leo. CCM acheni kujifanya hii nchi ni mali yenu wala haitakuja kuwa mali ya wanasiasa ni mali ya Wananchi wa Tanzania. Watu wametoka Zambia, Songea, Mwanza na kwingine halafu mnarahisisha mambo? Mtakuja kuichoma moto nchi hii.

..mlivyokuwa mkiambiwa Yanga ni klabu ya serikali / chama dola / mfumo na nyinyi mkawa mnafurahia madhara yake ndio haya.
 
Kwa hyo serikal haiwatengei fungu mbona inamaisha magumu Sana

Jana wameshindia kachor na juisi ya miwa tu

..wenye maisha mazuri ni VIONGOZI.

..wananchi hatustahili maisha mazuri.

..na Yanga ni klabu ya wanachi hivyo ni lazima iwe na hali mbaya.
 
Ni mwendo wa Bata Sasa hivi,tumeshasema neno Wanyonge marufuku na Sasa Ni kutanua tu,Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Hakuna mnyonge kwa sasa.

Kila mtu anajinudu. Mechi ijayo tutakuwepo bila Tashwishi.
 
Yanga ndio wamekimbia mchezo baada ya kupima kina cha maji
 
Too sad. Siwezi sana kusema lakini wanasiasa mmeharibu sana kwa leo. CCM acheni kujifanya hii nchi ni mali yenu wala haitakuja kuwa mali ya wanasiasa ni mali ya Wananchi wa Tanzania. Watu wametoka Zambia, Songea, Mwanza na kwingine halafu mnarahisisha mambo? Mtakuja kuichoma moto nchi hii.

waziri wa habari alietoa tamko lazima ajiuzulu
 
Back
Top Bottom