Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Too sad. Siwezi sana kusema lakini wanasiasa mmeharibu sana kwa leo. CCM acheni kujifanya hii nchi ni mali yenu wala haitakuja kuwa mali ya wanasiasa ni mali ya Wananchi wa Tanzania. Watu wametoka Zambia, Songea, Mwanza na kwingine halafu mnarahisisha mambo? Mtakuja kuichoma moto nchi hii.
Kwa hyo serikal haiwatengei fungu mbona inamaisha magumu Sana..mlivyokuwa mkiambiwa Yanga ni klabu ya serikali / chama dola / mfumo na nyinyi mkawa mnafurahia madhara yake ndio haya.
Kwa hyo serikal haiwatengei fungu mbona inamaisha magumu Sana
Jana wameshindia kachor na juisi ya miwa tu
Hakuna mnyonge kwa sasa.Ni mwendo wa Bata Sasa hivi,tumeshasema neno Wanyonge marufuku na Sasa Ni kutanua tu,Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2957]Mungu mchukuwe na huyu amesha anza leta umwinyi wa kipemba
Too sad. Siwezi sana kusema lakini wanasiasa mmeharibu sana kwa leo. CCM acheni kujifanya hii nchi ni mali yenu wala haitakuja kuwa mali ya wanasiasa ni mali ya Wananchi wa Tanzania. Watu wametoka Zambia, Songea, Mwanza na kwingine halafu mnarahisisha mambo? Mtakuja kuichoma moto nchi hii.
Kama hatamfuta kazi yule waziri Zuzu toka Kagera, naunga mkono hoja.Mungu mchukuwe na huyu amesha anza leta umwinyi wa kipemba
Pumbavu huna akili, bwege mkubwa.Spika Ndugai atusaidie kama TFF wako sahihi kwa mujibu wa kanuni!