mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Heshima kwenu.
Sheria inayosimamia mchakato wa katiba mpya imetamka wazi kati ya mambo ya KULINDA ni MUUNGANO,
Lakini Rasimu inapendekeza Serikali mbili zenye mamlaka kamili ambazo zinataka kuunda Shirikisho.
Hivyo kusababisha aina nyingine ya Muungano wa Shirikisho jambo ambalo limekatazwa na Sheria.
Jamani Wanasiasa, Wanasheria, Wajumbe wa Tume, Rais, Waumini wa Muungano Uliopo na Wana Jf bila kusahau Watanzania Bara na Visiwani au Watanganyika na Watu wa Zanzibar (Wana Jamhuri ya Muungano wa Tanzania).
Kwa rasimu ya Tume kutamka Muungano wa Shirikisho(Federation) ni matokeo ya nchi mbili kuzirejeshea kwanza mamlaka kamili ili ziungane kwa mfumo mpya.
Wakati kazi ya tume kwa mujibu wa sheria ilikuwa kulinda Muungano uliopo ambao sio wa shirikisho au wa mkataba.
Hivyo Tume imekiuka Sheria kuja na mapendekezo wa mfumo mpya wa Muungano licha ya kukiuka mapendekezo ya CCM kukiuka Sheria si kuondoa uhalali wa tume na mchakato wenyewe?
Naomba Mwongozo kwa mujibu wa Sheria mambo ya kulinda