Wanasiasa pekee ndiyo wanazungumzia suala la Katiba Mpya, Watanzania mtaani hawana mwamko

Wanasiasa pekee ndiyo wanazungumzia suala la Katiba Mpya, Watanzania mtaani hawana mwamko

amongidion

Member
Joined
Jun 9, 2021
Posts
76
Reaction score
111
Hivi hili suala la Katiba mpya mbona Kama viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani pamoja na mzee jaji mstaafu Warioba ndo Kama wao wanaliongelea ili hali mtaani huku wananchi wa kawaida ni Kama hawana mwamko nalo na hata hawasikiki wakiliongelea……[emoji1607][emoji1607]
 
Karibu mgeni karibu,Sana inamaana hata wewe ulikuwa hujasikia hata pale mtaani kwako,Kama ni hivyo bado hata hapa hujasikia.
 
Karibu mgeni karibu,Sana inamaana hata wewe ulikuwa hujasikia hata pale mtaani kwako,Kama ni hivyo bado hata hapa hujasikia.

Huwaga nasikiaga Kweny Taarifa ya Habari Mbowe akiongelea lkn mtaani sijawahi sikia
 
Wamezoea na mfumo wa maisha ya kijanjakijanja.

Pili hata vikao vya harusi huanza wachache.

Tatu hata mfumo wa vyama vingi walikubali wachache,Nyerere akasema hawa wasidharaulike kutokana na nyakati.

NNE katiba itapatikana kwa sauti ya wachache kwa amani.

Tank, ogopa sana tuipate katiba kwa nguvu ya wengi,njia sake zawezakuwa na athari kubwa sana.

Tumshukuru Mungu wanaodai no kwa njia salama hata kama wachache.

"Tujikumbushe"
Wanauamsho Zanzibar hawakuwa wengi,Bali yaliyotekea nimchanganyiko wa madhara yasiyoakisi amani
 
Back
Top Bottom