Wamezoea na mfumo wa maisha ya kijanjakijanja.
Pili hata vikao vya harusi huanza wachache.
Tatu hata mfumo wa vyama vingi walikubali wachache,Nyerere akasema hawa wasidharaulike kutokana na nyakati.
NNE katiba itapatikana kwa sauti ya wachache kwa amani.
Tank, ogopa sana tuipate katiba kwa nguvu ya wengi,njia sake zawezakuwa na athari kubwa sana.
Tumshukuru Mungu wanaodai no kwa njia salama hata kama wachache.
"Tujikumbushe"
Wanauamsho Zanzibar hawakuwa wengi,Bali yaliyotekea nimchanganyiko wa madhara yasiyoakisi amani