MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Wana political capitalKwahiyo Barrick, Anglo ashant nk wote ni wanasiasa.. ??ππ
Samweli sita alikwenda kuwekeza kwenye madini ya DHAHABU akiwa na kama BL 3 Hivi. kilichomkuta ni msiba mzito sana. pesa ilipotea yote hajaambulia chochoteSio madini tu
huko kwenye mbuga za wanyama zoote wamejimegea vitalu
Hawa pimbi ni kichomi!