Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 564
What goes arround comes arround...Wanasiasa hatukuwasikia kutoa tamko la pamoja ktk sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii,sasa hv hii sheria ya Vyama vya Siasa tunasikia wamekutana ili kupata tamko la pamoja.
Sasa mbona km wanajiwakilisha wao?..na km wanatuwakilisha sisi mbona hatukusikia tamko la pamoja ktk ile sheria ya Kikokotoo.
Tunajiuliza km hawakuweza kuzuia sheria hii ya mifuko ya hifadhi ya jamii kupita je,wataweza kuzuia muswada huu wa sheria za vyama vya siasa kupita?
Kiukweli wananchi wengi tunaamini muswada utapita na tunaombea upite ili wote tuonje haya machungu ya mabadiliko ya sheria hizi.
Ushwauri ni kwamba Wabunge wetu tukumbukeni tuliowapigia kura,msitutumie tu pale mnapotaka kura,kuandamana au mkiwekwa Lumande.
Kwa hali hii tutashindwa kujenga nchi kwa pamoja.Tujikosoe km mwalimu Julius K. Nyerere alivyojikosoa km kweli tunataka kumuenzi muasisi na Baba wa Taifa letu la Tanzania.
Na hizi ndizo falsafa za mjukuu wa Mtoro.
Mtorojr.