Wanasiasa walioshindwa kuboresha Katiba za Vyama vyao watawezaje kupigania Katiba Mpya ya JMT?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu

Sasa hii ni Katiba ya namna gani inayominya utoaji wa Haki kwa Wakati?

Kiukweli Wanasiasa watavuruga tu mchakato wa Katiba Mpya

Jumaa kareem!
 
Tudai Katiba mpya kwa kumaanisha
Bwashee katiba ya CDM ni ya kwao kama chama, lkn katiba ya JMT ni yetu sote, ikiwa mbaya inatugusa Watanzania wote bila kujali uko chama gani.

Kwa mfano chama cha mambuzi wakiamua ktk katiba yao kila mwanachama ukiwemo wewe John, kila mwezi mchapwe bakora kumi na mkakubaliana ni juu yenu haitawahisu wengine,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Ni mpumbavu pekee anaefikri wale watu wanapigania katiba mpya kwa ajili ya maslahi ya wanachi
 
Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu

Sasa hii ni Katiba ya namna gani inayominya utoaji wa Haki kwa Wakati?

Kiukweli Wanasiasa watavuruga tu mchakato wa Katiba Mpya

Jumaa kareem!

Wewe unaongea kwa kujifurahisha.

Unafahamu kuwa mikutano ya Baraza kuu huwa ina ratiba yake? Siyo kwamba mtu mmoja ana tatizo, basi Baraza Kuu linaitishwa. Lakini ujue pia kuwa kuitishwa kikao ni gharama, na CHADEMA haipokei ruzuku yoyote. Usilinganishe CCM yenye pesa nyingi ya ruzuku, (kupitia uchaguzi ulipvurugwa) na hivi vyama vya upinzani, ambavyo pesa ni lazima wachangishane kwanza.
 
Chadema are a scum of the earth. Switching from ccm to chadema will be like switching from mkoloni mweupe to mkoloni mweusi. They are all evil.
 
Wewe unaongea kwa kujifurahisha.

Unafahamu kuwa mikutano ya Baraza kuu huwa ina ratiba yake? Siyo kwamba mtu mmoja ana tatizo, basi Baraza Kuu linaitishwa. Lakini ujue pia kuwa kuitishwa kikao ni gharama, na CHADEMA haipokei ruzuku yoyote. Usilinganishe CCM yenye pesa nyingi ya ruzuku, (kupitia uchaguzi ulipvurugwa) na hivi vyama vya upinzani, ambavyo pesa ni lazima wachangishane kwanza.
Huo ndio ubovu tunaouzungumzia

Inawezekana kabisa kuweka Kamati ya Rufaa kama TFF
 
Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu

Sasa hii ni Katiba ya namna gani inayominya utoaji wa Haki kwa Wakati?

Kiukweli Wanasiasa watavuruga tu mchakato wa Katiba Mpya

Jumaa kareem!
Hivi wew kweli unawezaje kuweka usawa wa muongozo wa chama cha siasa na muongozo wa Taifa? Kwel John ndio umeamka hivi leo? C bure maybe uligida kangara jana ucku!!
 
Wewe unadhani 2005 tungemchagua Mbowe kuwa Rais angeachia Madaraka 2015?
 
Mbowe kama nan yeye mpaka ang'ang'anie urais? Yule mwenyew aliedhamiria kubaki madarakani na mchakato wa kumuongezea muda alishindwa ndio iwe mbowe!!
 
Back
Top Bottom