johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Asubuhi Huwa hainaga baraka kwako, nashauri usiwe unapost asubuhi kabla hujanywa chai.Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu...
Tudai Katiba mpya kwa kumaanishaAsubuhi Huwa hainaga baraka kwako, nashauri usiwe unapost asubuhi kabla hujanywa chai.
Angalia Sasa kile umepost
Bwashee katiba ya CDM ni ya kwao kama chama, lkn katiba ya JMT ni yetu sote, ikiwa mbaya inatugusa Watanzania wote bila kujali uko chama gani.Tudai Katiba mpya kwa kumaanisha
Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu
Sasa hii ni Katiba ya namna gani inayominya utoaji wa Haki kwa Wakati?
Kiukweli Wanasiasa watavuruga tu mchakato wa Katiba Mpya
Jumaa kareem!
Huo ndio ubovu tunaouzungumziaWewe unaongea kwa kujifurahisha.
Unafahamu kuwa mikutano ya Baraza kuu huwa ina ratiba yake? Siyo kwamba mtu mmoja ana tatizo, basi Baraza Kuu linaitishwa. Lakini ujue pia kuwa kuitishwa kikao ni gharama, na CHADEMA haipokei ruzuku yoyote. Usilinganishe CCM yenye pesa nyingi ya ruzuku, (kupitia uchaguzi ulipvurugwa) na hivi vyama vya upinzani, ambavyo pesa ni lazima wachangishane kwanza.
Hivi wew kweli unawezaje kuweka usawa wa muongozo wa chama cha siasa na muongozo wa Taifa? Kwel John ndio umeamka hivi leo? C bure maybe uligida kangara jana ucku!!Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu
Sasa hii ni Katiba ya namna gani inayominya utoaji wa Haki kwa Wakati?
Kiukweli Wanasiasa watavuruga tu mchakato wa Katiba Mpya
Jumaa kareem!
Wewe unadhani 2005 tungemchagua Mbowe kuwa Rais angeachia Madaraka 2015?Hivi wew kweli unawezaje kuweka usawa wa muongozo wa chama cha siasa na muongozo wa Taifa? Kwel John ndio umeamka hivi leo? C bure maybe uligida kangara jana ucku!!
Mbowe kama nan yeye mpaka ang'ang'anie urais? Yule mwenyew aliedhamiria kubaki madarakani na mchakato wa kumuongezea muda alishindwa ndio iwe mbowe!!Wewe unadhani 2005 tungemchagua Mbowe kuwa Rais angeachia Madaraka 2015?