Wanasiasa wameiteka Taifa Stars Misri, wasanii unafiki kama kawa!

Wakate tiketi mapema maana baada ya mechi ya tatu watarudi home fasta
 
Wala sipendi timu iwe ya ccm lkn wale senegal ndo mabigwa kama sio hvyo wataishia fainali kile kilikuwa nikipimo kikubwa kwetu tena Sana.
 
Acheni usenge nyinyi tumezaliwa tanzania tutazikwa tanzania cc niwatanzania hata ikifugwa gori mia bdao ni timu yetu mbona wtz wengi wajinga sana..
 
Senegal VS CCM ni 2-1.
"Matokeo haya ni utambulisho wa utekelezaji wa matukio makubwa mawili. Moja ni Kutokulinda Katiba, na pili ni Kuteka na kushambulia wapinzani watu" by Humphrey Polepole
 
Next time tujifunze, peleka kina muchacho na kidedea yao miaka yote wanatuhamasisha viwanjani badala ya kutuletea walevi
 
Kwani wanasiasa sio watanzania? Ivi ulitegemea watanzania wote waende kuishangilia Stars!! Unajua Tanzania ina idadi ya watu wangapi alafu wote waende uko misri. Ivi unajua gharama za kusafir, chakula na maradhi ni kiasi gani mbaka wote walio ishangilia stars apa waende misri. Ivi unajua wengi wao ulio wataja hawamwenda misri wanashughulizao au wameajiriwa ili kuweza kupata mlo wa kilasiku sasa uliegemea wakisafir familia zinaishi vipi? Acheni ujuaji .
 
Acheni usenge nyinyi tumezaliwa tanzania tutazikwa tanzania cc niwatanzania hata ikifugwa gori mia bdao ni timu yetu mbona wtz wengi wajinga sana..
Kweli kabisa! huwezi ukana Utaifa kwa sababu nyepesi za kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…