Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Kwanza hii ndiyo unapaswa kuwa ajenga muhimu kwa wagombea wote. Katika mambo ambayo serikali imeamua kuyakwepa kwa namna ya kuziba masikio ni hili suala la ajira kwa wahitimu mbalimbali, hii ni ishara kuwa taifa limekwama pakubwa sana.
Miaka zaidi ya kumi Bado hakuna ubunifu wa ajira na shughuli binafsi zinazoibuliwa na serikali kuhamasisha maendeleo ya sekta binafsi na za umma.
Matumizi yasiyo na tija kwa pesa za umma ni kichocheo kikubwa pia kwa ukosefu wa ajira kwa vijana. Serikali inatakiwa Sasa kuja na mipango mikakati na njia za kulikabiri tatizo hili kuu.