wanasiasa wanavyochangia kudidimiza lugha ya kiswahili

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
319
Reaction score
277
hivi karibuni, miezi kadhaa iliyopita tulishuhudia ugeni mkubwa hapa Tanzania, ujio wa rais wa China, Rais wa marekan, mkutano wa smart pack, lakn cha kushangaza badala ya viongoz wetu kutumia hii fursa kukitangaza kiswahili badala yake wanakidharau na kutumia kiingereza, hiv hawa viongz wanategemea ni nan atakayettangaza lugh hii kama si wao?? Mfano mzuri ni kiongoz wa china, hawa jamaa si kwamba rais hajui kiingereza hpana anajua ila sema tuh anauzalendo na taifa lake, wanainch wke na ndio maana akienda sehem yeyote lazma hatahutubia kwa kichina, sababu ni kutangaza utaifa wake, kuwarahisishia wananch wa taifa lake wasio jua kiingereza kujua nin kiongoz wao ameongea, lakn taifa hili lenye ufisadi mkubwa hawathamin taifa lao, wamekaa kiwiziwiz, hawako tayar kuuttangaza utaifa wao!!
Hiv kwanin wasi ajir mkaliman kwa ajr ya kutafri??? Najua hili linawezekana sema tuh Rushwa, watu wamenuka Rushwa, ki masanja PRETENdA wakubwa wasiojua nin maana ya utaifa"

Inaniuma saana kuona wakenya wanasema kiswahili ni lugha yao hali ya kuwa bora viongz wao wanawaza jinsi ya kuiba tuh

Jaman wanasiasa tuwe wazalendo na lugha yetu, hongera Mh. Dk. Jakaya mrisho kikwete kwa kushinikiza kiswahili kutumika katika mikutano ya umoja wa wafrika ( AU) enzi zile ulipokuwa waziri wa mamb ya nje
 
Nakubaliana na wewe lakini hapo kwenye rangi nyekundu pana maana atatumia lugha nyingine badala ya kichina.
 
Back
Top Bottom