Wanasiasa wanawake warembo duniani: Hakuna hata mweusi mmoja, huu ni uongo

Hii list bila Halima Mdee sio rahisi kuilewa yule mtoto sumu sana
 
Bonna kaluwa sijui nimepatia jina yule dada kisuuuuuu
Hata angela kairuki kisu sema anazeeka siku hizi
Halima mdee mrembo ila anajiweka kibabe
 
Uzuri upo ndani ya mtu Kwa mimi hapo sijaona mzuri.
 
Angalau huyo wa Israel angekuwa wa kwanza kwenye hiyo list
 
Hina Rabbani Khar Amefunika kabisa aisee, Halafu demu anongea uyo
 
Wazungu kwa kujipendelea,ina maana hiki.chombo cha kitanga hawajakiona?
 
Hata mke wangu mama suluhu hayupo?
Na angela kairuki.?
 
Mbona huku chini ukanda wa Gaza hawaonekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…