Mama yangu.....!!Napinga!
Ina maana mama Getruda Mongela na mama Gaudensia Kabaka sio warembo!!!!
Wa nchi gani?mbona naibu spika sjamuona kwa hyo list
Dada zetu wa kiafrika nyie ni habari nyingine ndio maana tunageuka tukipishanaHata kama ni wazungu lakini sijaona uzuri wowote