abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Habar wtz nimekaa kwa muda nikisubir nione wale watu wanao jiita watetezi wa wananch siku zote wakisema hata neno Moja kwa Hali inayo endelea sasaiv ila mpaka Sasa wapo kimia
Nashangaa wote walio kua Wanatukana wakat wa serikal ilio pita kua ilikua ya kinyonyaji na yenye kusababisha ufukara na Umaskin kwa Watanzania na kusema kua kodi zimekua nyingi garama za Maisha Zipo juu na wakatuomba wananch tuwaunge Mkono kua uongozi wa Magufuli ulisababisha vyuma kukaa
Walikua watu wasio lala endapo itatokea hitilafu yoyote Ile kwenye serikal ya Magufuli ilifika Hatua mpaka kukosoa shilingi 50 ilio ongezwa kwenye usafir wa Treni na kusema kua serikal inaongeza mzigo kwa wananch Maskin na ni nchi isiyo jali wananch wake
Leo Nashangaa Baada ya serikal ya Sasa kuwapa wanasiasa wanacho taka kama uhuru wa kuongea wanacho jiskia uhuru wa kumtukana mwendazake na kua nao Bega kwa bega kumchafua alie kua Rais wa tanzania
Wanasiasa wamekua vipofu wa kuona kua Hali sasaiv sio nzur bajet ilio wekwa sio Rafik kwa watanzania
Leo mtanzania ukifanya miamala ya Milion 1 Mara Tatu basi utatozwa si chin ya laki moja yani kama ni mfanyabiashara unae fanya biashara zako kwa sim janja basi jua ukituma kwa watu watatu kila mmoja milio Milion bas utatakiwa uwe na laki moja ya ziada
Mfano mimi hii Hali inanikuta tayar sababu migodin ninapo fanyia biashara zangu hamna Bank na huwezi kwenda na cash lazima mzigo ukipatikana unatuma hela na kwa siku nafanya miamala si chin ya M6 ivyo nakatwa sio chin ya laki 3 Yan kama vile tumechanga ila yote kwa yote wapinzan wapo kimia
Serikal imepandisha kodi kwenye Mafuta kitu ambacho kinafanya maisha kua magum na Ghali kwetu sababu kyela liter moja ni shilingi 3000 watu walio kua wanapiga kelele wote wapo kimia
Mahospital now parfomance sio nzur madawa na Baadh ya vifaa but wapo kimia na wote kwa pamoja wanapongeza kua Mama anaupiga mwingi uku wakisema kua sisi Watanzania tumewatuma wakadai Katiba huru na wanakaza fuvu wakisema Tumewatuma na Katiba io main target ni Tume huru wanayo jua moja kwa moja Wana Manufaa nayo
Pia napenda niishauri serikal isifanye kazi na wanasiasa kwa kuwapa kila kitu wanacho taka ila watupe sisi Wananch what we deserve na hakika watapokea bless za kutosha