Wanasiasa wengi wana uwezo mdogo darasani

Wanasiasa wengi wana uwezo mdogo darasani

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,347
Reaction score
1,828
Wadau naomba uzoefu wenu,uchunguzi nilioufanya toka kwa watu nnawajua wanafanya siasa.Nimesoma nao na wengine tumefanya kazi pamoja. Wengi wana uwezo mdogo wa darasani hata kupembua mambo.
 
Kuna ka ukweli maana hata Winston Churchill alikuwa chini katika elimu ya darasani
Ila uwezo wa darasani sio ndio akili pekee maishani.
Kufanikiwa kimaisha kunahitaji vitu vingi zaidi ya akili za darasani
 
ebu anika ripoti ya utafiti wako hapa watu tukusome vizuri,
vinginevyo ni kubwabwaja tu kwa hisia zako feki
 
Hata Mzee Lincoln hakuwa na uwezo mkubwa darasani ila alikuwa mwanasiasa mashuhuri sana kipindi chake.

Darasani tuna jifunza 20% tu ya maisha halisi.

Wanasiasa wazuri hujua kutengeneza hoja imara na kuzitetea bila kutetereka.
 
Siasa ni kazi ya kujishushia heshima sana! Wasomi hawapo tayari kujishushia hiyo heshima!
 
Ha ha ha ... Mimi acha ninyamaze tuu ingawaje mada ni tamu
 
it is very true,
politics is a science of fooling people, therefore people who think before they act cannot be into this game! even though those who are intelligent now when they enter into such business they are in into it.
the only problem now, intelligent people are desperate about the future because of economic insecurity while fools are full of confidence.
 
Kuna ka ukweli maana hata Winston Churchill alikuwa chini katika elimu ya darasani
Ila uwezo wa darasani sio ndio akili pekee maishani.
Kufanikiwa kimaisha kunahitaji vitu vingi zaidi ya akili za darasani


mfan: Mark mwandosya au muhongo wote hao walikuwa hawajiwezi darasan?
 
Winston Churchill "politics is the ability foretell what is going to happen tommorow, next week, next month, next year and to have ability afterward to explain what didn't happen"""
 
Back
Top Bottom