Wanasimba mliopo mkoani Dodoma msituangushe

Wanasimba mliopo mkoani Dodoma msituangushe

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Jumapili kuna mchezo hapo kati ya Dodoma vs yanga sc huu mchezo hakikisheni hawa 🐸 hawaondoki na point tatu.

Tunajua wanafanya kila mbinu kuhakikisha wanapata point tatu, wakishirikiana na mbunge najua mnajua cha kufanya.

Kelele zilikuwa nyingi sana, kwa ushirikiano wetu si mnaona nchi ilivyotulia?

Tunasema hivi bingwa atajulikana mpaka mchezo wa mwisho. Bahati nzuri tuna vijana wetu watatu pale pale kambini kwao.
 
Kama walishindwa kuisaidia timu yao kupata matokeo dhidi ya yanga,Ndio wataweza kusaidia Dodoma JiJi kupata matokeo dhidi ya yanga?.
 
Na ligi mnaongoza tangu mwanzoni mwa msimu
Jumapili kuna mchezo hapo kati ya Dodoma vs yanga sc huu mchezo hakikisheni hawa [emoji196] hawaondoki na point tatu.

Tunajua wanafanya kila mbinu kuhakikisha wanapata point tatu, wakishirikiana na mbunge najua mnajua cha kufanya.

Kelele zilikuwa nyingi sana, kwa ushirikiano wetu si mnaona nchi ilivyotulia?

Tunasema hivi bingwa atajulikana mpaka mchezo wa mwisho. Bahati nzuri tuna vijana wetu watatu pale pale kambini kwao.
 
Chama na chizi maarifa Morrison imekuwaje? Au wote ni watovu Wa nidhamu? Ila Morrison inasemekana kwa muda mrefu sasa amesingiziwa sana kuhusu wizi Wa gari na wabongo
 
kuna watu watalia na kusaga meno,,,"Eloy,,Eloy',,Lama Sabaktani',,,ubingwa ubingwa mbona umeniacha.
Kwa timu yako hiyo dhaifu? Hizi ni ndoto za usiku,asubuhi na mchana yaani kutwa Mara 3! Ikitokea hii Mimi naacha kuwa mwanaume! Dodoma ndio wataoanza kuwadisapointi
 
Ndo Furaha yenu hii iliyobaki kwa Makolo na hamna namna nyingine ya kupata furaha
Kumbuka sisi ndio mabingwa watetezi , kombe tumelizoea sana.. furaha yetu kuona hamna furaha, mkiongozwa na yule kilo 800
 
Kumbuka sisi ndio mabingwa watetezi , kombe tumelizoea sana.. furaha yetu kuona hamna furaha, mkiongozwa na yule kilo 800
Kumbuka sisi ndo mabingwa Mara nyingi zaidi nchi hii,kwahyo hapo ndo utajiuliza zaidi nani kombe kalizoea zaidi

Sisi pia malengo yetu kuona nyie makolo hamna Furaha hata kidogo
 
Back
Top Bottom