Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
😅😅😅😅😅😅kuna watu watalia na kusaga meno,,,"Eloy,,Eloy',,Lama Sabaktani',,,ubingwa ubingwa mbona umeniacha.
Watahakikisha vipi hili linatimia ?Jumapili kuna mchezo hapo kati ya Dodoma vs yanga sc huu mchezo hakikisheni hawa 🐸 hawaondoki na point tatu
Jumapili kuna mchezo hapo kati ya Dodoma vs yanga sc huu mchezo hakikisheni hawa [emoji196] hawaondoki na point tatu.
Tunajua wanafanya kila mbinu kuhakikisha wanapata point tatu, wakishirikiana na mbunge najua mnajua cha kufanya.
Kelele zilikuwa nyingi sana, kwa ushirikiano wetu si mnaona nchi ilivyotulia?
Tunasema hivi bingwa atajulikana mpaka mchezo wa mwisho. Bahati nzuri tuna vijana wetu watatu pale pale kambini kwao.
Kwa timu yako hiyo dhaifu? Hizi ni ndoto za usiku,asubuhi na mchana yaani kutwa Mara 3! Ikitokea hii Mimi naacha kuwa mwanaume! Dodoma ndio wataoanza kuwadisapointikuna watu watalia na kusaga meno,,,"Eloy,,Eloy',,Lama Sabaktani',,,ubingwa ubingwa mbona umeniacha.
Kumbuka sisi ndio mabingwa watetezi , kombe tumelizoea sana.. furaha yetu kuona hamna furaha, mkiongozwa na yule kilo 800Ndo Furaha yenu hii iliyobaki kwa Makolo na hamna namna nyingine ya kupata furaha
Kumbuka sisi ndo mabingwa Mara nyingi zaidi nchi hii,kwahyo hapo ndo utajiuliza zaidi nani kombe kalizoea zaidiKumbuka sisi ndio mabingwa watetezi , kombe tumelizoea sana.. furaha yetu kuona hamna furaha, mkiongozwa na yule kilo 800