WanaSIMBA TAFADHALINI

WanaSIMBA TAFADHALINI

mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,883
Reaction score
14,600
Jumapili hii ijayo Ligi inaendelea wakati Mwanachama na Mdhamini wa SIMBA SPORTS CLUB, Mpendwa wetu MOO akiwa bado hajapatikana. Chezeni Jihadi USHINDI ndio faraja pekeee kwa wanasimba wote kwa sasa.
LAKINI MMPEJIPANGAJE KUSHANGILIAJE MAGOLI??? Kwa ishara ya Pingu, Kimia kimia, kwa machozi, kikubwa mshangilie kwa staili itakayoenzi Uchungu wa Upotevu wa MOO pls pls.
Nitasikitika kuona mizuka isiyo na ujumbe wa Uchungu kwa kilichomtokea Moo.
Nawatakieni maandalizi mema.
 
Nashauri mprint mabango ya hiyo picha na hashtag zake mashabiki wayapeperushe ili kukazia zaidi.
zittokabwe-20181017-0001.jpeg
 
Yanga walitaka kuingia na mabango , wakati Manji anashughuliliwa. Nakumbuka walipigwa marufuku .

Hii ya simba mtavumiliwa?!
 
Hakuna tofauti !! Ni uonevu kama uonevu mwingine.
Habari mbaya kwa Mikia, timu za mastar wao wa nje ziko hoi kwenye michuano ya Afcon isipokuwa Uganda. Rwanda ya MK 14 na Maestro Haruna Niyonzima ni ya mwisho ikiwa na alama 1 baada ya kucheza michezo 4. Kwingineko Zambia ya fundi Cloutus Chama ni ya pili kutoka mwisho. Kwako Jesse John!!!
 
Vipi timu za mastaa wenu zinaendeleaje huko bwawani??
 
Habari mbaya kwa Mikia, timu za mastar wao wa nje ziko hoi kwenye michuano ya Afcon isipokuwa Uganda. Rwanda ya MK 14 na Maestro Haruna Niyonzima ni ya mwisho ikiwa na alama 1 baada ya kucheza michezo 4. Kwingineko Zambia ya fundi Cloutus Chama ni ya pili kutoka mwisho. Kwako Jesse John!!!
Cc:Sembo
Kumbe juzi alikuwa analeta ushabiki maandazi eti kocha wa wapinzani wao alizimia baada ya match japo alishinda game kisa tuu Chama.
 
Shida no
Yanga muungane na Simba katika kipindi hiki kigumu. Muweke uhasama wenu pembeni kwa muda.View attachment 903118[/QUOT
Shida ni kina Sembo, Yeye hakuna Sikh inapita bila kuisema vibaya Yanga sc. Sijui atabadilika lini, hata time ya taifa utasikia kina Sembo wanajinadi, Hugo mchezaji wetu, ukimuuliza uwaga anamchangia bei gani, hats maji chupa moja hajawai nunua kumtia moyo. Kila siku no thread za kinazi tuu hadi zinaboa. Jamani tubadilike, Moira wetu hauwezi sogea mbele kwa mtindo huu tuliokuwa nao. Timu ya taiga lako inacheza eti linatoka jitu linajiita litanzania linashabikia time pinzani, hadi wenzetu wanatucheka.
 
Jumapili hii ijayo Ligi inaendelea wakati Mwanachama na Mdhamini wa SIMBA SPORTS CLUB, Mpendwa wetu MOO akiwa bado hajapatikana. Chezeni Jihadi USHINDI ndio faraja pekeee kwa wanasimba wote kwa sasa.
LAKINI MMPEJIPANGAJE KUSHANGILIAJE MAGOLI??? Kwa ishara ya Pingu, Kimia kimia, kwa machozi, kikubwa mshangilie kwa staili itakayoenzi Uchungu wa Upotevu wa MOO pls pls.
Nitasikitika kuona mizuka isiyo na ujumbe wa Uchungu kwa kilichomtokea Moo.
Nawatakieni maandalizi mema.
Watachezaje jihad wakat hawajui hatma ya mishahara yao ya mwisho wa mwezi italipwa na nani
 
Sio kwa menejimenti ya sasa Mkuuu, wako njema sana wala haina ubishi watalipwa mkwanja wao as usually.
 
Back
Top Bottom