Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Oct 19, 2018 #21 mmteule said: Sio kwa menejimenti ya sasa Mkuuu, wako njema sana wala haina ubishi watalipwa mkwanja wao as usually. Click to expand... Mkuu management sio walipaji mshahara. Club imejaa wapiga dili ndo unawaita management
mmteule said: Sio kwa menejimenti ya sasa Mkuuu, wako njema sana wala haina ubishi watalipwa mkwanja wao as usually. Click to expand... Mkuu management sio walipaji mshahara. Club imejaa wapiga dili ndo unawaita management
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Oct 20, 2018 #22 Haya sasa kashapatikana...
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Oct 20, 2018 Thread starter #23 Brother sembo kimia sana mdau, au bado unaona ndoto Moooo kupatikana!
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Oct 20, 2018 #24 chaliifrancisco said: Yanga muungane na Simba katika kipindi hiki kigumu. Muweke uhasama wenu pembeni kwa muda.View attachment 903118 Click to expand... Bila shaka kama Simba ilivyoungana na Yanga wakati wa issue ya Manji. Tuungane tu kama Watanzania. It makes more sense!
chaliifrancisco said: Yanga muungane na Simba katika kipindi hiki kigumu. Muweke uhasama wenu pembeni kwa muda.View attachment 903118 Click to expand... Bila shaka kama Simba ilivyoungana na Yanga wakati wa issue ya Manji. Tuungane tu kama Watanzania. It makes more sense!