Wanasimba tuendelee kutamba

Wanasimba tuendelee kutamba

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Mashabiki na wapenzi wa timu ya Simba, tusikate tamaa tuendelee kuvimba kwa kupost zile post za kuonesha ubora wa timu ya Simba (ranking) ndani ya Africa.

Tuendelee kupost overall performance kama ilivyokuwa kwenye hatua ya makundi. Tuendelee kujitapa kwa kaizer chiefs ni vibonde katika hatua ya robo fainali.

Tuendelee kumpamba Konde boy na Manula na Onyango .

Tutambe tutambe kwa kuona timu ya Simba msimu huu hakuna wakumsumbua kwenye nusu fainali labda Al Ahly tukikutana nao fainali
 
Mashabiki na wapenzi wa timu ya Simba, tusikate tamaa tuendelee kuvimba kwa kupost zile post za kuonesha ubora wa timu ya Simba (ranking) ndani ya Africa. Tuendelee kupost overall performance kama ilivyokuwa kwenye hatua ya makundi. Tuendelee kujitapa kwa kaizer chiefs ni vibonde katika hatua ya robo fainali.
Tuendelee kumpanda Konde boy na Manula na Onyango .
Tutambe tutambe kwa kuona timu ya Simba msimu huu hakuna wakumsumbua kwenye nusu fainali labda Al Ahly tukikutana nao fainali
Mamaelodi Sundowns ingekuwa ni aibu ya mwaka

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Simba ya jana!😄😄😄
View attachment 1786303
View attachment 1786568
20210515211437.jpg
 
Simba kutamba ni kawaida,mwaka jana tulitolewa hatua ya mtoano hata makundi hatukufika,tukajipa moyo tukajipanga msimu huu tumefika robo.
Simba bado ni timu bora na itazidi kuwa bora.
 
Back
Top Bottom