Mamaelodi Sundowns ingekuwa ni aibu ya mwakaMashabiki na wapenzi wa timu ya Simba, tusikate tamaa tuendelee kuvimba kwa kupost zile post za kuonesha ubora wa timu ya Simba (ranking) ndani ya Africa. Tuendelee kupost overall performance kama ilivyokuwa kwenye hatua ya makundi. Tuendelee kujitapa kwa kaizer chiefs ni vibonde katika hatua ya robo fainali.
Tuendelee kumpanda Konde boy na Manula na Onyango .
Tutambe tutambe kwa kuona timu ya Simba msimu huu hakuna wakumsumbua kwenye nusu fainali labda Al Ahly tukikutana nao fainali