Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Mpaka mda huu hajapatikana na mimi kama mkereketwa wa Simba na Amani kwa ujumla niwasihi wanasimba popote mlipo iwe vyombo vya usalama, ofisi za uma, michezoni, nje ya mipaka, ndani ya mipaka na sisi wanasimba tulio ndani ya mamlaka bila kuogopa chochote tupigane Mo apatikane akiwa mzima Inshaalah.