Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Tuanze kupigana tena mkuu? Tushaambiwa tuwaachie polisi hayo mengine unayoyatafuta siyo afya.Mpaka mda huu hajapatikana na mimi kama mkereketwa wa Simba na Amani kwa ujumla niwasihi wanasimba popote mlipo iwe vyombo vya usalama, ofisi za uma, michezoni, nje ya mipaka, ndani ya mipaka na sisi wanasimba tulio ndani ya mamlaka bila kuogopa chochote tupigane Mo apatikane akiwa mzima Inshaalah.
kila la heri mkuu ngoja Mimi nipiganie uzima wangu hapa Tanzania
Tuanze kupigana tena mkuu? Tushaambiwa tuwaachie polisi hayo mengine unayoyatafuta siyo afya.
Atapatikana Bila Shaka. Police Wetu Wako Vizuri.
Mmmh Sawa. Ina Maana Huna Imani Na Walinzi WetuPolisi wetu masaa yote hayo wameshafail
Mola wetu tunaye mtumaini atamfanyia wapesi na tutakuwa nae inshallah
Msemaji wa Simba H manara amesema tuwaachie vyombo vya dola, mkuu wa mkoa amesema anaamini atapatikana akiwa mzima, lkn kama ikitokea sehemu ulipo ukaona kama hapaeleweki unaweza kutoa taarifa