Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Baada ya Al hilal ya ibenge kula kichapo kizito kutoka Kwa mabingwa wa kihistoria young Africans
Wanasimba wameandamana kwenye vyombo vya habari plus mitandaoni wakimtuhumu GSM Kwamba ameanza kuharibu ligi ya mabingwa Baadaya kuonekana kumshawishi ibenge aibebe Yanga
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Je hizi lawana za makolo zitaishia wapi ?????.... it's unprofessional Kwa makolo