Mo anafuraha kubwa mno!Rage alikuwa sahihi sana kuwaita mbumbumbu wale jamaa
Ingekuwa?Mechi inarudiwa Azam waangalie kazi iliyofanywa na wachezaji kimsingi Yanga alipaswa kuongoza hili kundi hata huyo Ibenge alikuwa anapigwa home and away ashukuru sana
Wale jamaa Mimi niliwadharau siku nyingi baada ya kuletewa manzoki kwenye uchaguzi wa viongozi wao kisha wakapiga makofi ndipo nilipojua mangungu alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu,,Baada ya Al hilal ya ibenge kula kichapo kizito kutoka Kwa mabingwa wa kihistoria young Africans
Wanasimba wameandamana kwenye vyombo vya habari plus mitandaoni wakimtuhumu GSM Kwamba ameanza kuharibu ligi ya mabingwa Baadaya kuonekana kumshawishi ibenge aibebe Yanga
Soma Pia: Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025
Je hizi lawana za makolo zitaishia wapi ?????.... it's unprofessional Kwa makoloView attachment 3200931