Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Baadhi ya mashabiki wanataka kushinda Kila mechi utadhani Simba inacheza na watoto wa chekecheaMtuachie Ahou wetu.....
Huyo huyo bdo anatokea mara nyingi kwny vikosi bora CaF kila wakicheza
Huyo huyo alitupa goli la dhahabu na wale waarabu safixien kule Algeria
Huyo huyo ndo anaeweza kupiga mipira iliyokufa kwa usahihi zaidi...
Kama mnataka wacheji machachari kama Ngiri pori aka kina kasongo tafuteni timu zenu muwasajili....
Mkikaa nje ya kumi na 18 midomo mirefuuuu....
Baadhi ya mashabiki wenzangu wa Simba ukweli tuna changamoto,wanazionaga kama timu nyingine zimekuja kuwaangalia TU Simba wakicheza,wanaonaga timu nyingine kama hazina haki ya kushindana,kuzuia na kishambulia.Mkuu mashabiki oyaoya hawawezi kukuelewa. Kwao Simba inaweza kushinda kila mechi. Tofauti na hapo utasikia, mara hatuna namba 10, hatuna box to box midfielder, hatuna striker, fulani yuko slow, Mo tuletee striker, mara fukuza fulani hafai n.k. Yaani wanawaona wachezaji wa Simba kama malaika wasiotakiwa kukosea. Na pia hawajui kuwa timu pinzani nayo inapambana kuziba mianya ya kufungwa na kutafuta ushindi pia. Wanabeza ushindi wa goli moja wakati tumeshuhudia Al Ahly na Memolodi wakitoka suluhu. Yaani bongo ni taabu kwelikweli. Kuwa kocha au mchezaji wa Simba ni shida.
Hata kama huzipendi , ndizo zinazoamua kwenye soka. Aliyefunga goli 3 na kufungwa goli 2, aliyeshinda ni mwenye goli tatu. Haijalishi kachezaje. Hata anayeongoza ligi au kutwaa ubingwa , ni yule mwenye idadi kubwa ya pointi. Namba hazindanganyi. Unafananisha babu Pacome na Ahoua.!?Binafsi siamini sana kwenye Namba.
Kama namba zinasema ukweli.
George Mpole.
Fiston Mayele.
HAWA WALIKUWA WANAWANIA KIATU CHA MFUNGAJI BORA.
Molinga ameondoka yanga akiwa na Magoli 12 akiwa ndio mfungaji wao wa Msimu.
Isitoshe hata Fredy na Saido waliondoka simba wakiwa Wafungaji Bora ndani ya Klabu yao.
Huyo mchezaji wenu Goigoi simtaki kabisa (lile ni Gharasa).
Mimi sio muumini wa Namba
Sizipendi Namba.
Duuh!Hata kama huzipendi , ndizo zinazoamua kwenye soka. Aliyefunga goli 3 na kufungwa goli 2, aliyeshinda ni mwenye goli tatu. Haijalishi kachezaje. Hata anayeongoza ligi au kutwaa ubingwa , ni yule mwenye idadi kubwa ya pointi. Namba hazindanganyi. Unafananisha babu Pacome na Ahoua.!?
Namfananisha Mayele na George mpole.Hata kama huzipendi , ndizo zinazoamua kwenye soka. Aliyefunga goli 3 na kufungwa goli 2, aliyeshinda ni mwenye goli tatu. Haijalishi kachezaje. Hata anayeongoza ligi au kutwaa ubingwa , ni yule mwenye idadi kubwa ya pointi. Namba hazindanganyi. Unafananisha babu Pacome na Ahoua.!?
Kuwafananisha hao watu ni Dalili ya awali kabisa ya kichaa.Duuh!
Kwahiyo kwako Ahoua ni bora kuliko Pacome?
Ahoua kazi yake ni mcheza mpira,anajua kabisa kufunga goli kwake ni Pesa ,utajiri na maisha mazuri.
Anajua kabisa akifunga goli hasa katika michuano hii ya CAF atazawadiwa fedha nyingi, fedha za mama,mashabiki na wafadhiri.
Anajua jina lake litaandiikwa kwenye vitabu vya CAF,Clabu ya Simba na magazeti yote Afrika.
Anajua kabisa soko lake litapanda na bei yake itapanda.
Anajua kabisa umaarufu wake utaongezeka,hakuna mtu asietaka umaarufu,hata Mimi natamani umaarufu.
Anajua atasifiwa kwa kuipeleka Simba hatua za juu.
Hayo ni machache sana,lkn Kuna mengi sana mchezaji hua anatamani kufunga magoli mengi zaidi.
Kwa kifupi mchezaji anajua mpira ni magoli na faida ya kufunga magoli kuliko hata sisi mashabiki.
Wanasimba wenzangu Ukiona mchezaji kama Ahoua au kapombe amekosa goli maana yake sio kwamba hataki,hajui,Hana uwezo au amefanya makusudi.
Anagalie ni ameshafunga mara ngapi,na ukiangalia mechi ya Znz Ahoua alifunga goli ambalo ndio linatupeleka SA tukiwa mbele.
Jamani eeh hakuna alieweza kujua mawazo ya Ahoua kuamua kupiga mwenyewe bila kutoa pasi,huenda Kuna kasoro aliiona kwa Ateba na Mutale ambayo sisi watazamaji hatukuiona.
Jamani eeh mpira pia ni mahesabu,na pengine alipiga hesabu zake kwa haraka akaona Bora ashuti yeye kuliko kutoa pasi,kwani hakuna ushahidi kua Kila pasi huzaa goli,Kuna wengine pia hukosa au hunyang'anywa.
Mfano yeye kapewa pasi na Mpanzu lkn kakosa.
Kumbukeni mpira ni mchezo wa bahati na makosa.
Unaweza kulenga goli bahati ikawa Yako ukafunga au kama sio bahati Yako ukakosa.
Ni kawaida na mara nyingi ukiwa shabiki na mtazamaji ni rahisi kukosoa na kuona wachezaji wanakosea lakini hakika sio kazi rahisi hivyo,wanaocheza ndio wanajua ugumu.
Kumbukeni timu pinzani nayo Ina kocha,imefundishwa,inacheza,inazuia,na piq inataka ushindi.
Hata kwa maaskari Kuna mafunzo ya kulenga shabaha(Range),kwa mfano wakipewa risasi kumikumi,Kuna wakati askari mmoja anaweza kupata zote na Kuna wakati anapata kadhaa.
Kumbuka siku pia hazifanani,
Mfano wawindaji Kuna siku wanafanikiwa kupiga wanyama na Kuna siku wanakosea shabaha.
Hebu tumuangalie Ahoua ameifungia Simba magoli mangapi na assist ngapi ya mechi za ndani na za nje, akiwa amekaa ndani ya Simba Kwa Muda Gani, ukilinganisha na mchezaji kama Chama mfano.
Hebu tufikirie kama Ahoua ana mwaka mmoja ndani ya Simba, lakini amefanikiwa kuchangia kuiingiza Simba nusu fainali,je akiaa miaka kama aliyokaa Chama, hatuoni kama ataisogeza mbele?
Leo hii mkifatilia taarifa za wachezaji wa Afrika kwa mwaka huu wa 2025 katika michuano hii ya shirikisho,hamuwezi kukosa jina la Ahoua
Jamani eeh kukosa magoli sio kutokujua kucheza,wachezaji wote duniani hukosa magoli.
Pamoja na yote Simba inaenda kuitoa Stellenbosch na kwenda kucheza Fainali.
Tazama video hapa chini.
View: https://vm.tiktok.com/ZMBnTQTPm/
Ni bora kuliko Pacome. Thamani ya Pacome sokoni haiwezi fikia thamani ya Ahoua.Duuh!
Kwahiyo kwako Ahoua ni bora kuliko Pacome?
George Mpole na Mayele umewafananisha kwenye nini!?Namfananisha Mayele na George mpole.
Hapo ndio utajua namba zinadanganya ama hazidanganyi.
Otherwise uwe kichaa ,
Huwezi ukafananisha Uwezo wa Ahoua na Pakome.
Una ushabiki wa kijinga sana.Ni bora kuliko Pacome. Thamani ya Pacome sokoni haiwezi fikia thamani ya Ahoua.
Toka hapa, unataka mtazamo wako ndio uwe mtazamo wangu!!? Ushabiki maandazi peleka huko ukanywee chai.Una ushabiki wa kijinga sana.