Wanasimba wanaomlaumu Ahoua pengine sio wafuatiliaji wa soka.

George Mpole na Mayele umewafananisha kwenye nini!?
KWA WANAO ANGALIA NAMBA WANAOSEMA NAMBA NDIO KILA KITU KWA MCHEZAJI.

George mpole na Fiston mayele walikuwa kwenye mchuano mkali wa Ufungaji bora kwenye Ligi kuu ya Tanzania NBC 2022.
 
KWA WANAO ANGALIA NAMBA WANAOSEMA NAMBA NDIO KILA KITU KWA MCHEZAJI.

George mpole na Fiston mayele walikuwa kwenye mchuano mkali wa Ufungaji bora kwenye Ligi kuu ya Tanzania NBC 2022.
Mpole alikuwa bora kuliko Mayele. Unalipi la kusema zaidi!? Au unataka kubishana na namba!?
 

summarize mkuu maelezo mengi na mifano tele sio suluhisho kwa waTz waliochoka na mihangaiko ya kila siku so be straight to the point
 
Sis simba tuna akili timamu, hao wanaomkataa wengi ni wala futari na supu za kibudu, ila wanasimba wote wenye akili hatuna mashaka nae
 

Kama unajua hivyo kwanini mnamlaumu kipa wa singida fouin gate kuwa kala rushwa kwenye gemu yao na yanga?sawa vijana wa Aden Lage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…