Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Sidhani kama kwa haya niliyoyaona Leo maana baada ya mpira kwisha stori zilikuwa nyingi sana baina ya Rais wao na wachezaji wa Black Stars, walikuwa wanafurahia vituko vya uswahilini.Mara Rais yuko na JOnathan, mara Yuko na Ayoub Lyanga, mara anaonekana akiwa na Arthur yaani ni full maongezi na Raha.
Leo nimethibitisha dhahiri shahiri kuwa Simba kubebwa ubingwa sio KAZI ndogo, Sasa hivi wameshaingia kwenye mfumo wa viporo tayari, Kuna timu zimeandaliwa kumharibia kabisa mnyama, timu yetu ni kama yatima, inachukiwa mno na baadhi ya timu kwa sababu ya mafanikio kimataifa.
Leo walikuwa wanaachwa kwa pointi nyingi lakini wamefanya mambo ya kitoto sana, this is totally match fixing.Kwa hali hii sitolalamika Tena Simba akiangusha pointi ama akikosa ubingwa msimu huu, nimeshajiandaa kisaikolojia.