Wanasimba wenzangu yu wapi mghana Nicolas Gyan?

makalango

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
451
Reaction score
254
Niende moja moja kwenye mada, awali tuliambiwa ana mkataba huko kwenye timu yake ya zamani ambao tuliambiwa ungeisha tatehe 20/08/2017 lakini mpaka Leo hakuna taarifa za uhakika wa taarifa zaidi ya tetesi za magazetini kila kukicha anakuja kesho mara siku mbili mara mwezi wa huu wa nane mwishoni lakini mpaka tunaanza mwezi wa tisa, taarifa zilienea sana kuwa angekuja Leo ijumaa lakini mpaka sasa hakuna uhakika, viongozi tuambieni huyu mchezaji yuko wapi? Ukizingatia tunaenda kwenye mchezo mgumu na muhimu kwetu tarehe 06/09/2017.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si umeambiwa atakuwepo ktk friend match ya jumapili? Au husomi instagram ya msemaji wa simba?

sweeper
 
Ngoja kwanza tupo kwenye marudio ya uchaguzi kenya...
 
Niende moja moja kwenye mada, awali tuliambiwa ana mkataba huko kwenye timu yake ya zamani ambao tuliambiwa ungeisha tatehe 20/08/2017 lakini mpaka Leo hakuna taarifa za uhakika wa taarifa zaidi ya tetesi za magazetini kila kukicha anakuja kesho mara siku mbili mara mwezi wa huu wa nane mwishoni lakini mpaka tunaanza mwezi wa tisa, taarifa zilienea sana kuwa angekuja Leo ijumaa lakini mpaka sasa hakuna uhakika, viongozi tuambieni huyu mchezaji yuko wapi? Ukizingatia tunaenda kwenye mchezo mgumu na muhimu kwetu tarehe 06/09/2017.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo hjamuona na kafunga goli
 
Back
Top Bottom