Niende moja moja kwenye mada, awali tuliambiwa ana mkataba huko kwenye timu yake ya zamani ambao tuliambiwa ungeisha tatehe 20/08/2017 lakini mpaka Leo hakuna taarifa za uhakika wa taarifa zaidi ya tetesi za magazetini kila kukicha anakuja kesho mara siku mbili mara mwezi wa huu wa nane mwishoni lakini mpaka tunaanza mwezi wa tisa, taarifa zilienea sana kuwa angekuja Leo ijumaa lakini mpaka sasa hakuna uhakika, viongozi tuambieni huyu mchezaji yuko wapi? Ukizingatia tunaenda kwenye mchezo mgumu na muhimu kwetu tarehe 06/09/2017.
Sent using
Jamii Forums mobile app