Wanasoka 5 wagharama kubwa zaidi epl

Delle Alli ni mchezaji mzuri sana ila ana kiburi flani ivi ambacho sio kizuri kwenye mafanikio yake japo ni tabia ya England players
Delle alli ni mdogo kiumiri hii inamfanya kuwa na hasira tumeona wachezaji wengi wakiwa kwnye umri mdogo wakiwa na fujo mfano neyma, ronaldo, hata messi
 
Delle alli ni mdogo kiumiri hii inamfanya kuwa na hasira tumeona wachezaji wengi wakiwa kwnye umri mdogo wakiwa na fujo mfano neyma, ronaldo, hata messi

Kiongozi unamjua Messi vizuri?? Messi tangu lini akawa mwenye fujo!!!au cjakuerewa vizuri___aise cjapata kuona player mstaarabu/mwenye sifa zote kwenye soka like messi tokea soccer lianze,,,na hata akiwa nje ya uwanja.
 
Kati ya hawa wachezaji wote hapa, wachezaji ambao bei zao hazitikisiki ni wachezaji wa man city tu, wengine wote bei zao zinashuka kama viazi msimu wa mavuno!.

Huyo Coutinho Barcelona watachukua kwa chini ya £100m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…