Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Kumbe ashakulamba. "aisifiae mvua"Tshishimbi atakufukunyua mariñda.mshamba wewe
Unaongea nini wewe?Rais wa Liberia wa sasa mbona hamumsemi
Prof. Madundo Mtambo yupo SUA. Prof. Madundo alichezea Reli Morogoro sambamba na Athumani Msomali GK, Duncan Butinini RIP, Mbui Yondani, Boniface Njohole, Mwanamtwa Kihwelu, Fikiri Magosso, Juma Salam, David Mihambo, Peter Mjata, Juma Salum, Bakar Tutu, James Charles, Habib Kondo na kocha akiwa John Semkoko!Kuna Lawrence Mwalusako na Prof Madundo Mtambo
Ni Meneja wa Shiza Kichuya, na sasa hivi ni Managing Director wa Tanzania Industry Research and Development Organization (TIRDO)Prof. Madundo Mtambo yupo SUA. Prof. Madundo alichezea Reli Morogoro sambamba na Athumani Msomali GK, Duncan Butinini RIP, Mbui Yondani, Boniface Njohole, Mwanamtwa Kihwelu, Fikiri Magosso, Juma Salam, David Mihambo, Peter Mjata, Juma Salum, Bakar Tutu, James Charles, Habib Kondo na kocha akiwa John Semkoko!
Prof. Madundo Mtambo ana kituo chake cha kurithisha vijana soccer na ndio kituo hicho kinacholisha wachezaji kwenda timu za Morogoro ikiwemo MTIBWA Sugar.
Ni Meneja wa Shiza Kichuya, na sasa hivi ni Managing Director wa Tanzania Industry Research and Development Organization (TIRDO)
Si Kweli, kuna golikipa alikuwa Toto then mbao alikuwa nadegree ya education, pia Yanga Macca Edward Mwakalukwa ni degree holder, Telela pia ana diplomaWanasoka wakibongo aliyejitahidi ana form four yenye division 5
Hbr wanajamvi
Naomba kujuzwa professional players wenye degree, masters Phd na wale wenye taaluma mbalimbali ikiwemo waliotumiakia taaluma zao huku wakicheza soka lakini pia hata ambao waliacha taaluma zao na kujikita kwenye soka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi alishawahi kukumwagia hayo mate mazito nini?kelvin yonda ana digrii ya makohozi na mate mazito
Na wewe una Masters ya UPOPOMA na MAJUNGU.Athumani Iddi Chuji ana ' Bachelor Degree ' ya Unga wa Sembe
Haruna Moshi Boban ana ' Masters Degree ' ya Jani Pendwa Jamaica
Jonas Gerald Mkude ana ' Doctorate of Philosophy ' ya Maji ya Ilala Mchikichini
Duuh. Usimsahau konkiAthumani Iddi Chuji ana ' Bachelor Degree ' ya Unga wa Sembe
Haruna Moshi Boban ana ' Masters Degree ' ya Jani Pendwa Jamaica
Jonas Gerald Mkude ana ' Doctorate of Philosophy ' ya Maji ya Ilala Mchikichini