Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,290
- 1,123
sijakataa hilo ni kipaji sana lakini kuna wakati mtu unaona pia alibebwa na watu japo nakiri messi ni kiboko,na wewe acha uswahili wako na ukiri pia kuna watu walichangia kumng'arisha.Waswahili hatukosagi maneno...Hata baada ya yeye kuondoka kwenda Qatar Messi alizidi kushine. Messi ni kipaji bwana wala sio mtu wa mazoezi kama wengine
Halafu na ndiyo mchezaji aliyekuwa anataka kuwa karibu na kombe kuwazidi hata wachezaji waliolitolea jasho kombe lenyewe. Ni kweli mpira unachezwa na timu nzima kwa kutegemeana LAKINI ni kweli pia kwamba kuna majukumu fulani huwa yamekasimishwa kwa mchezaji wa nafasi fulani. Pamoja na mabeki kuwapo lakini golikipa anatakiwa kuhakikisha mpira hauingii gorini. Straika ni kufunga. Sasa huyo Giroud mechi saba bila shuti lolote la kulenga gori achana na kupata gori lolote. Sawa alipangwa mechi zote, hiyo ndo bahati inayoongelewa hapa.Olivier Giroud amebeba Worldcup huku wachezaji wengi mahiri duniani wakishindwa kufanya hivyo Eg.Messi,Ronaldo,Ibrahimovic,Lewandowsk,Suarez ukiangalia mastraika hao wamemuacha mbali sana Giroud hivyo bila shaka yoyote alibebwa na ubora wa kikosi cha ufaransa kutwaa kombe la dunia
Sehemu kubwa ya alivyovipata nadhani Torres alistahiki.Torres kabeba makombe makubwa barani ulaya
world cup. uefa. EPL. Europa la Liga nk
kaka kaladze wa AC milan.. hakua n uwez mkubw kivile ila timu ilimbeba.
Sehemu kubwa ya alivyovipata nadhani Torres alistahiki.
kabisa mkuuSehemu kubwa ya alivyovipata nadhani Torres alistahiki.
Hujamtendea haki PogbaTores na Reina - ndani ya Spain
Valdes, Etoo, Keita na Abidal - Barcelona
Boateng Buyern & Germany
Gilberto Silva - Brazil
Pogba - France
Hiyo ni machine,na mtapata tabu Sana.RONALDO
Hakuna loloteHiyo ni machine,na mtapata tabu Sana.
lione hili linesiBarcelona wachezaji most of them waliopita na wasasa uwezo wao ni wa kawaida sana mfano tu Neimar,semedo,vidal,gomes, alcacer and Digne, hawa wote ni wakawaida sana__so Mafanikio yao wameyapata kutoka kwa LEONEL MESSI__ bila Messi wasingepata mafanikio yoyote__
MESSI ndiye engine ya Barca, bila yeye BARCA si chochote. So wamshukuru sana kiumbe huyu kuwahi kutokea
Hapo kwa Valdes hapana aisee, timu imeshinda mataji mengi akiwa golini unasemaje mbovu. Kwa hiyo kwa mtazamo wako Hata wewe ungeweza kudaka na Barca wakachukua makombe kibao.Karibuni wana ukumbi,
Kuna wachezaji walikuwa/wana uwezo wa kawaida lakini wamepata mafanikio makubwa sana kutokana na mafanikio ya timu aliyochezea/anayochezea.
Mfano:
Anderson enzi akiwa Man Utd ana medali 3 za EPL wakati uwezo wake ulikuwa ni wakawaida sana kulinganisha na mtu kama Steven Gerrard ambaye hana medali yoyote ya EPL.
Kiungo Christoph Kramer wa Borrusia Monchegladbach ana medali ya Kombe la Dunia aliyoshinda na Ujerumani mwaka 2014 licha ya uwezo wake wa kawaida.
Victor Valdes ameshinda kila aina ya taji katika soka akiwa na Barcelona na Hispania lakini uwezo wake ni wa kawaida sana.
Karibu uendelee...
Huyo hapo madevu [emoji23][emoji23]Messi asiye na ndevu alibebwa sana na timu hususani na viwango vilivyotukuka vya Xavi na Iniesta.
Messi Mandevu kaibeba timu juu ya mabega take akifanya mambo yaliyokuwa yakifanywa na watu watatu yaani yeye mwenyewe akiwa hana ndevu,xavi na iniesta Kwa wakati mmoja
Ajabu akiwa mchezaji Kamili zaidi na madevu juu ballon d or zimekimbia ila Nina hakika Messi hatakufa kabla hajachukua balloon d' or moja