Wanasosholojia wawajibu TEC na tamko lao

Ni kila sehemu maaskofu ndio huanzisha fujo, hasa hawa wa katoliki,
Ila safari hii wameingia cha kike,
Hii tayari ni vita ya dini
Mwenye nguvu na ushujaa atashinda,
Waoga na wanafiki watajulikana, wacha vita ije tupambanue mchele na pumba
Wacha tuone
 
hakuna kitu walichojibu hapo ni blahblah tu za uchawa na ukunguni.
Wangechambua mkataba wenyewe na kuonyesha uzuri wake na ubaya wa uchambuzi wa TEC kitu ambacho hawajafanya zaidi ya umbea wa kike!
Kwa ufupi; Hakuna kenge wa kuweza kujibu ule uchambuzi
 
Mtu asipoweka vipengele na kutaja ubaya au uzuri wake namwona hana akili
 
'Taasisi za dini si taasisi za serikali ila zinahaki kama raia wa kisheria (legal body)". Nakushauri mpelekee rais wa Zanzibar ambaye amekuwa akijihusisha mojakwamoja na maswala ya dini yake kama rais, hawa TEC huwa hawajibiwi kulingana na miongozo ya kanisa, vinginevyo kanisani kungekuwa na muda wa maswali na majibu.
 
SUBIRA- iko kifungu namba ngapi cha mkataba?
 
Mkuu sijui tatizo lako ni lipi- unataka mimi nikujibu hayo maswali yako? Nadhani siwezi kwa sababu mimi siyo mshosolojia- msikilize , wasome halafu uwajibu
 
Mkuu sijui tatizo lako ni lipi- unataka mimi nikujibu hayo maswali yako? Nadhani siwezi kwa sababu mimi siyo mshosolojia- msikilize , wasome halafu uwajibu
Watanzania! Mbona hakuna sehemu yoyote nilipoweka swali.
 
Kuna mtu nadhani Fatuma Karume (Shangazi) alisema "wanaoweza kuelewa walichosema TEC ni wenye akili timamu tu". Na mimi naamini hivyo. Soma walichoandika kwa akili timamu na utaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…