Ukimfuatilia gwajima speech zake unaona ni mtu anapenda sana kusoma vitabu kuna siku ilikuwa anachambua kitabu cha "THE ART OF WAR" kanisani kwake ila huwezi kumuelewa kama sio msoma vitabu. Ninachotaka kusema labda wampige risasi au wamroge lakini kwa njia yoyote ile hawataweza inaonekana amesoma sana vitabu vya kijasusi kipindi cha corona aliitwa kwenye kamati ya maadili akakataa kiti na mike. Mpaka hapo inaonekana gwajima amechukua tahadhari zote na anawajua CCM nje ndani na yupo tayari kwa lolote mpaka sasa ngoja tunywe supu nyama Ziko chini.Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha. Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Kama ukimwambia mtu anakufakuna mtu hapa jf nilimwambia we si unapenda ccm utakufa mpaka leo sijamuona sasa zamu yako.kama sio wewe unaishi nao sitaki vilio maana wengine machifu
Kwa hiyo wewe unabariki utekaji? Kifo cha Binadamu kwako ni sawa na Panya buku!!! You don't care at all.Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha. Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
wewe sio mwenye ratiba.ndio maana wanamsumbukia kila mara utasikia dua sijui maombi.Karama is bitch if use death karama give deathKama ukimwambia mtu anakufa
Kwa nini usianze na huyo mnaye mchukia?
Tusiandikie mate wakati wino ungalipo.wewe sio mwenye ratiba.ndio maana wanamsumbukia kila mara utasikia dua sijui maombi.Karama is bitch if use death karama give death
hata kwenye historia za dini kulikuwa na watu kama wewe hata kama kuna sherehee wao watabisha kuwa sio sheree.Tusiandikie mate wakati wino ungalipo.
Niombee Mimi nife, ikiwa wewe ni chifu sijui umetokana na machifu.
Wanga ña roho mbaya ndio huanzaga hivi hivi
Hiyo dawa utakunywa wewe na waliokutuma mlitaka kumdhuru TL mbona boss wenu alitangulia futi sita chini before TL kwendeni huko bhnDawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha. Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
KeshajaaDawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha. Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Hahaha yule hawamuwezi na hana kosa lolote wala ubaya wowote alioufanya.Nyie neng'enekeni tu ,ataliasha dude na kuwataja watekaji na sponsors wao ,ana list hadi walipopelekwa hao waliotekwa...Kaeni kwa kutulia.
Angalau kambale ana ndevuhata kwenye historia za dini kulikuwa na watu kama wewe hata kama kuna sherehee wao watabisha kuwa sio sheree.
kuna wisdom nilisoma sio kila mtu aliyopo duniani kuwa bidamau inawezekana kuwa ulitakiwa kuwa mnyama.
kama wewe kambale
Kwamba kama wewe unaweza kuwa na hizo taarifa na kuja kuziandika hapa, yeye ni mpumbavu kiasi hicho? Acheni kutisha watu bhana.Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha. Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Unajiona mtu wa system eeehDawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha. Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.