Kuuliwa huyo simple sana..unaishi karne ya 1st Dimension wakati duniani tupo level za 7th dimension fungua code kama utawezaGwajima huwezi kumteka kindezi kwa ulinzi wa kufa mtu alionao, itabidi ufunge mtaa kwanza na mkono upigwe kisawasawa uwashinde walinzi wake ndio umbembe mzobezobe umtupie garini halafu gari litoke nduki wananchi wenye hasira wasijue nini kimetokea. Kwanza yeye mwenyewe yuko full mkoko ukiingia vibaya unakula shaba. Huyo si kama wale waliotekwa na kushambuliwa kindezi
huna lolote mwehu wewe..Kuuliwa huyo simple sana..unaishi karne 1 Dimension wakati duniani tupo 7 dimension fungua code kama utaweza
Kwanini watanzania mnafurahia myu akiumizwa?Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.
Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Kwa hiyo mnaogopa si mda mrefu mtaanza kutajwa mmoja baada ya mwingine mpaka na Papa wenu?Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.
Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Unajimanua manua makalio hapa jukwaani ili kujionesha jinsi gani ulivyo mpumbavu weweDawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.
Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.
Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
ChaiDawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.
Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Hiyo dunia ya 7th dimension unahisi unaishi peke yako?Kuuliwa huyo simple sana..unaishi karne ya 1st Dimension wakati duniani tupo level za 7th dimension fungua code kama utaweza
Kismingi mwana harakati na anayempinga samia kwa sasa anatakiwa awe na shaba asije akatekwa kama kuku. Lazima ujiteteee lasivyo utasahaulika kama Mdude.Gwajima huwezi kumteka kindezi kwa ulinzi wa kufa mtu alionao, itabidi ufunge mtaa kwanza na mkono upigwe kisawasawa uwashinde walinzi wake ndio umbembe mzobezobe umtupie garini halafu gari litoke nduki wananchi wenye hasira wasijue nini kimetokea. Kwanza yeye mwenyewe yuko full mkoko ukiingia vibaya unakula shaba. Huyo si kama wale waliotekwa na kushambuliwa kindezi
Unafurahia CCM kutotaka kuambiwa ukweli au?Dawa yake ishachemka na kuiva anasubiri kunyweshwa tu. Kuna button ikibonyezwa kiherehere chake chote kwisha.
Niko pale nimekaa nakunywa zangu Captain Mogan na kitimoto choma.
Watu wa mbeya liamsheni huko juu ya mdude au anzeni kushuhulika na kijani kimya kimya na polishHadithi tu hizo za kutishiana sio kila mtu atafanyiwa unachowaza wewe..
Mdude ameumiza sana watu aisee acha tu..Watu wa mbeya liamsheni huko juu ya mdude au anzeni kushuhulika na kijani kimya kimya na polish
Tulia akianza kampeni muulizeni ulisema hakuna utekaji na ukazuia hoja ya utekaji bungeni sasa ili upate kura yetu tuambie alipo mdude. Kiufupi anzisheni kampeni dhidi ya tulia juu ya mdude.Mdude ameumiza sana watu aisee acha tu..
Sipo Tanzania mkuu..Tulia akianza kampeni muulizeni ulisema hakuna utekaji na ukazuia hoja ya utekaji bungeni sasa ili upate kura yetu tuambie alipo mdude. Kiufupi anzisheni kampeni dhidi ya tulia juu ya mdude.